GetJar logo
VOA Swahili Mobile Streamer

VOA Swahili Mobile Streamer

0+ ratings
CategoryNews & Weather
Latest versionN/A
SizeN/A
RequirementsAll Platforms
LicensePaid
Offered ByN/A
Mkondo wa matangazo * rasmi * ya VOA kwa simu yanatoa matangazao ya habari za radio katika lugha zaidi ya 40 kwenye vifaa vya Android. Yapatikanayo katika Mkondo wa VOA kwa Simu: * Sikiliza mamia ya vipindi vya redio kwa wakati wako katika lugha zaidi ya 40 tofauti * Sikiliza mkondo wa matangazo ya moja kwa moja katika darzeni ya lugha * Chagua kusikiliza sauti kupitia huduma yako ya simu ya mkononi bila gharama zaidi * Okoa muda wa kupakua na gharama kwa kutumia viwango vya chini upana wa mawasiliano *Mpelekee mwenzako kipindi ulichopenda kwa kutumia barua pepe, Twitter, Facebook, Google+ na huduma nyingine Una maswali yoyote, mapendekezo au matatizo na programu? Tafadhali tujulishe: voamobileapps@gmail.com
© 2025 GetJar.com. All rights reserved