The download of this app is disabled as it may not be supported on modern devices. The app may be available from the official source.
VOA Swahili Mobile Streamer
| Category | News & Weather | File Type | APK |
| Requirements | All Platforms | File Size | N/A |
| License | Free | Platform | Android |
| Offered By | N/A |
Mkondo wa matangazo * rasmi * ya VOA kwa simu yanatoa matangazao ya habari za radio katika lugha zaidi ya 40 kwenye vifaa vya Android.
Yapatikanayo katika Mkondo wa VOA kwa Simu
-
Sikiliza mamia ya vipindi vya redio kwa wakati wako katika lugha zaidi ya 40 tofauti
-
Sikiliza mkondo wa matangazo ya moja kwa moja katika darzeni ya lugha
-
Chagua kusikiliza sauti kupitia huduma yako ya simu ya mkononi bila gharama zaidi
-
Okoa muda wa kupakua na gharama kwa kutumia viwango vya chini upana wa mawasiliano
*Mpelekee mwenzako kipindi ulichopenda kwa kutumia barua pepe, Twitter, Facebook, Google+ na huduma nyingine
Una maswali yoyote, mapendekezo au matatizo na programu? Tafadhali tujulishe: voamobileapps@gmail.com